资讯

SERIKALI imesema inatafakati kuona namna ya kufadhili vyombo vya habari kwa kuvipa ruzuku. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa na ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kuongeza makusanyo. Majaliwa alisema hayo wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Tathmini ya Utendaji wa TRA ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita makusanyo yake kwa mwezi yameongezeka kwa asilimia 77. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Arusha ...
Alisema mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia umeelekeza ifikapo mwaka 2034; angalau 80% ya Watanzania wawe ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 Julai 17, 2025, ...
DAR ES SALAAM: SERIKALI imetangaza kuwa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 yamefikia ukingoni, baada ya kupitia ...
Mkurugenzi na mbeba maono wa tuzo hizo, Dk Christine Mbelwa, amesema lengo ni kuwatambua wanawake walioacha alama isiyofutika ...
Aidha, askofu Ruwa’ichi amewapa hati nne ikiwemo ya dara la upadri, hati ya kuwaruhusu kuwaganga watu kwa njia ya Kristu kwa njia ya sakramenti, leseni ya kufungisha ndoa na miongozo inayowahusu ...