资讯

NIGERIA: MUIGIZAJI mkongwe wa Nollywood, Bukky Wright, ameeleza nia yake ya kuolewa tena licha ya umri wake wa miaka 58.
DAR ES SALAAM: RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema malengo klabu hiyo msimu ujao ni kufika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa ...
KAGERA: Wafugaji wa Mkoa wa Kagera wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali za kufikisha mifugo katika vituo vya kutolea ...
GEITA: MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Magufuli wilayani Chato mkoani Geita, Cathbert Julius ,42, amevamiwa na kuuwawa ...
ARUSHA: WAENDESHA baiskeli Twende ‘Butiama Cycling Your’ wameandaa tamasha maalumu la muziki jijini Arusha kwa ajili ya ...
Hayo yamebainishwa wakati wa uzinduzi wa mradi wa kisima cha maji ujulikanao kama ‘Water for life’ uliyopo mtaa wa Rahaleo kwenye manispaa hiyo, uliyojengwa chini ya Chama cha Wahandisi na Wasanifu ...
SERIKALI imesema inatafakati kuona namna ya kufadhili vyombo vya habari kwa kuvipa ruzuku. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa na ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kuongeza makusanyo. Majaliwa alisema hayo wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Tathmini ya Utendaji wa TRA ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita makusanyo yake kwa mwezi yameongezeka kwa asilimia 77. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Arusha ...
Alisema mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia umeelekeza ifikapo mwaka 2034; angalau 80% ya Watanzania wawe ...
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050 Julai 17, 2025, ...