资讯

NIGERIA: MUIGIZAJI mkongwe wa Nollywood, Bukky Wright, ameeleza nia yake ya kuolewa tena licha ya umri wake wa miaka 58.
DAR ES SALAAM: RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema malengo klabu hiyo msimu ujao ni kufika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa ...
KAGERA: Wafugaji wa Mkoa wa Kagera wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali za kufikisha mifugo katika vituo vya kutolea ...
GEITA: MWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Magufuli wilayani Chato mkoani Geita, Cathbert Julius ,42, amevamiwa na kuuwawa ...
ARUSHA: WAENDESHA baiskeli Twende ‘Butiama Cycling Your’ wameandaa tamasha maalumu la muziki jijini Arusha kwa ajili ya ...
SERIKALI imesema inatafakati kuona namna ya kufadhili vyombo vya habari kwa kuvipa ruzuku. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa Rais wa pili wa Tanzania kuandika Dira ya Taifa ya Maendeleo isiyokuwa na ...
Hayo yamebainishwa wakati wa uzinduzi wa mradi wa kisima cha maji ujulikanao kama ‘Water for life’ uliyopo mtaa wa Rahaleo kwenye manispaa hiyo, uliyojengwa chini ya Chama cha Wahandisi na Wasanifu ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita makusanyo yake kwa mwezi yameongezeka kwa asilimia 77. Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda alisema hayo Arusha ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kuongeza makusanyo. Majaliwa alisema hayo wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha Tathmini ya Utendaji wa TRA ...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imepunguza riba yake kutoka asilimia sita hadi 5.75. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba amesema hayo wakati akitangaza uamuzi wa kikao cha Kamati ya Sera ya Fedha. Amesema ...
MFANYABIASHARA, mdau wa maendeleo Kigamboni na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), William Nyakua, amerejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho ili kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la ...