资讯

SIKU hizi habari za michezo katika magazeti, redio, runinga na mitandao ya kijamii zinatawaliwa na kandanda ukiwa ndio mchezo ...
ILE vita ya vigogo vya soka nchini imeanza rasmi baada ya dirisha la usajili la Ligi Kuu, Championship, First League, Ligi ...
AZAM FC haina utani baada ya kutambulisha kocha mpya, Florent Ibenge na nyota watatu wazawa Aishi Manula, Lameck Lawi na ...
BEKI wa kati wa Zanzibar Heroes, Abdallah Denis maarufu kama Vivaa, amejiunga rasmi na Namungo akitokea Coastal Union ya ...
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji, Paul Peter amejiunga na JKT Tanzania akipishana na John Bocco anayetajwa kuachwa.
KAMA ulikuwa unadhani Heritier Makambo aliyekuwa Tabora United na kudaiwa ametimka ndo kaondoka kimoja? Umekosea, kwani jamaa bado yupo sana Bongo baada ya kudaiwa yupo hatua ya mwisho ...
BAADA ya Azam FC kumtambulisha aliyekuwa kocha wa Al Hilal Omdurman ya Sudan, Florent Ibenge, inaelezwa kuwa dili la beki wa ...
TIMU mbalimbali zinaimarisha vikosi kwa kuongeza sura mpya kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, miongoni mwazo ni ...
TIMU za Coastal Union na Pamba Jiji zimeingia anga za kuhitaji huduma za kipa Wilbol Maseke aliyemaliza mkataba wake na KMC ...
KIUNGO staa wa Tottenham Hotspur, Pape Matar Sarr amelipa pesa kugharimia umeme wa kijiji kizima huko kwao Senegal.
:MANCHESTER United bado ipo kwenye meza ya mazungumzo na Brentford kwa ajili ya ofa ya kumsajili mshambuliaji Bryan Mbeumo.
WINGA wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho mwenye miaka 25, yuko tayari kupunguza mshahara wake ili ...